A propos de ce blog


Nom du blog :
uniteevangile
Description du blog :
ce site est une prolongation du programme d'évangélisation du Ministère de l'UNITE DANS LA PRIERE
Catégorie :
Blog People
Date de création :
10.09.2011
Dernière mise à jour :
10.06.2019

RSS

Rubriques

>> Toutes les rubriques <<
· INFOS SUR LE MINISTERE (24)
· ACTUALITES (5)
· CHOSES PRIVEES (0)

Navigation

Accueil
Gérer mon blog
Créer un blog
Livre d'or uniteevangile
Contactez-moi !
Faites passer mon Blog !

Articles les plus lus

· A PROPOS DE "UNITE DANS LA PRIERE"
· BUTEMBO/ELECTIONS RDC
· MATAYARISHO YA MKUTANO YA MAZABAHU
· MKUTANO YA KUJENGEYA BWANA MAZABAHU YA SHUKRANI
· MKUTANO MKUU YA VIONGOZI WA MA KANISA

· MATAYARISHO YA MKUTANO YA MAOMBI
· L'UNITE DANS LA PRIERE EN MARCHE
· MKUTANO YA WA LEADERS PA KALUNGUTA
· MKUTANO YA KUOMBEYA TERRITOIRE YA BENI
· MAOMBI BILA KU CHOKA
· UNITE DANS LA PRIERE
· SAFARI ZA KI MISIONARI ZAKE ASKOFU NDAVANA
· 2000 fidèles s'engagent à servir le Seigneur
· UNITE DANS LA PREIERE
· ELECTIONS/RDC

Voir plus 

Statistiques 40 articles


Thèmes

VUOS WATEULE

Derniers commentaires Recherche

MATAYARISHO YA MKUTANO YA MAZABAHU

MATAYARISHO YA MKUTANO YA MAZABAHU

Publié le 08/06/2016 à 09:55 par uniteevangile Tags : VUOS WATEULE
Kwa siku hizi Askofu NDAVANA SYAIPUMA iko katika kazi za matayarisho ya mkutano ya ku jengeya Bwana mazabahu ya shukrani. Kazi hii inaandaliwa katika huduma yote inayoongozwa na mtumishi huyu wa Mungu. Ndio maana katika kuandaa kazi hii, mtumishi amejitahidi kuenda huku na kule ku ma kanisa kwa kuhudumia watoto wa Mungu. Pamoja na iletukumbushe kwamba kipindi USHIRIKA WA WATEULE kina endeleya ku peperushwa kunako redio VUOS hapa mjini Beni kwaajili tu yaku andaa watoto wa Mungu naku wa fikisha kiwango chaku mpenda Mungu ginsi inavyo faa.

:: Les commentaires des internautes ::

Clovis KAMATHE le 26/08/2016
Tunashukuru Mungu na wachungaji yaani Mchungaji Askofu kwa upekee, kwa ajili ya mipangilio hii. Ila ya Muhimu ni kuweka pia tarehe na siku ambayo mkutano huu utafanyika pa Butembo, ili kila mtu anaye soma kwa mtandao huu ajipange vizuri kwa kuhuzuria mkutano mbukwa kama huu. Mungu bariki wote wanao husika na wasomaji.


angelilie le 22/04/2017
beau blog. un plaisir de venir flâner sur vos pages. une découverte et un enchantement.N'hésitez pas à venir visiter mon blog en lien ici : http://mondefantasia.over-blog.com/
au plaisir


angeline le 29/04/2017
j'aime me promener ici. un bel univers. vous pouvez venir visiter mon blog ici : http://marilyn.monroe.over-blog.com/ merci